Waziri ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe
Waziri ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe, amewataka watanzania wasiwe na hofu kwani Serikali inafanya juhudi kubwa za kuikomboa ndege ya ATCL iliyoshikiliwa nchini Afrika Kusini.