Rais Magufuli awasamehe Makamba na Ngeleja
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo Septemba 4, 2019 amesema ameshawasamehe wambunge January Makamba pamoja na William Ngeleja, kufutia kusikika baadhi ya sauti zilizosambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii zikimtukana na kumdhihaki.

