Hatua itakazochukua Tanzania baada kupata ndege Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Dkt Damas Ndumbaro. Serikali ya Tanzania imesema ipo katika mchakato wa kufungua kesi ya kudai fidia ya pesa iliyotumika kuendeshea kesi ya Ndege ya ATCL, iliyokuwa ikishikiliwa nchini Afrika Kusini. Read more about Hatua itakazochukua Tanzania baada kupata ndege