Hatua ya mtoano, Sprite Bball Kings wikiendi hii
Baada ya michuano ya Sprite Bball Kings 2019 kuzinduliwa hapo jana katika viwanja vya Mlimani City, ratiba ya hatua ya mtoano ya michuano hiyo itaanza Jumapili ya wiki hii, Agosti 25 katika kituo cha michezo cha JK Park, Dar es Salaam kuanzia saa 2:00 Asubuhi.