Hamadai aeleza walivyomtafuta Mbalamwezi, siku 3 Msanii wa The Mafik, Mbalamwezi (katikati), aliyefariki dunia Sekta ya burudani imekumbwa na msiba wa kuondekewa na mmoja wa wasanii anayeunda kundi la The Mafik aitwaye Mbalamwezi, kilichotokea usiku wa kuamkia leo. Read more about Hamadai aeleza walivyomtafuta Mbalamwezi, siku 3