Mchungaji afariki akifunga siku 30 Kushoto ni mchungaji. Mchungaji Brighton Samajomba kutoka nchini Zambia, amefariki dunia kwa kinachotajwa kupatwa na Utapiamlo' akiwa katika mfungo ambao alikuwa anadhamiria kufikisha siku 30. Read more about Mchungaji afariki akifunga siku 30