Zitto na Lissu waipa nguvu ACT Wazalendo

Zitto Kabwe (kulia) na Tundu Lissu (kushoto)

Mshauri Mkuu wa Chama Cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kuwa, kuonekana pamoja kwa viongozi wawil vya vyama vya siasa vya upinzani, Zitto Kabwe (ACT) na Tundu Lissu (CHADEMA), kumewapa nguvu kuelekea uchaguzi wa 2020.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS