Lulu Diva adai ana miaka 19 Msanii wa Muziki wa BongoFleva, Lulu Diva amesema yeye kwa sasa ana miaka 19 na atahakikisha anaingia kwenye ndoa pindi atakapofikisha miaka 25. Read more about Lulu Diva adai ana miaka 19