Mboni Masimba aolewa na Tajiri Mboni Masimba na mume wake Ally Tajiri Mrembo na mtangazaji wa muda mrefu nchini, Mboni Masimba amefunga ndoa leo na mpenzi wake Ally Tajiri, ambaye sasa amekuwa mume wake. Read more about Mboni Masimba aolewa na Tajiri