Makonda awapa nusu saa watumishi kuhubiri klabu

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, amewaambia watumishi wa Mungu wenye nia ya kwenda kutoa mahubiri yao katika kumbi za starehe (klabu),  wamjulishe kuanzia wiki ijayo ili awape vibali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS