Iringa waomba Kampeni ya Namthamini iwafikie
Serikali mkoani Iringa imeombwa kuweka utaratibu wa kugawa bure taulo za kike katika shule za msingi na sekondari ili kunusuru afya za wanafunzi wakike ambao wanalazimika kutumia vitambaa ambavyo si salama.