Kigwangalla atangaza kujivua uanachama Waziri wa Maliasili na Utalii Hamisi Kigwangalla Waziri wa Maliasili na Utalii Hamisi Kigwangalla, ametangaza kujiondoa kwenye uanachama wa Chama Cha Mabaharia na kueleza tangu mwanzo kulikuwa na kusudio la kumvua uanachama. Read more about Kigwangalla atangaza kujivua uanachama