Mume na Mke wafungwa kwa kumfanyia ukatili mtoto Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara imewahukumu kifungo cha miaka mitano jela, Thadei Parokwa (43) na mke wake Lowema Thadei (34) kwa kuwakeketa watoto wao watatu. Read more about Mume na Mke wafungwa kwa kumfanyia ukatili mtoto