Sabaya amtumia salamu Mbowe kuhusu ufalme wa Hai
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, amemtumia salamu Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, kwamba muda wake wa kuendelea kuongoza katika jimbo la Hai umefika ukomo kwa sababu mambo yote waliyokuwa wanayapigia kelele yamekwishashughulikiwa.

