Tanzania imefuzu hatua ya makundi, Kaseja aeleza Juma Kaseja na Mbwana Samatta pamoja na mwamuzi wa mchezo. Timu ya taifa ya Tanzania imesonga mbele kwenye hatua ya makundi, kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Qatar mwaka 2022. Read more about Tanzania imefuzu hatua ya makundi, Kaseja aeleza