''Tumieni hata fursa ya kuoa/kuolewa'' - Makonda
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, amewataka watanzania kuhakikisha wanatumia fursa mbalimbali zilizotangazwa kupitia mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo ya Wakuu wa nchi Kusini mwa Afrika (SADC).