RPC afunguka kuhusu tetemeko la ardhi Katavi Taharuki imezuka mkoani Katavi, kufuatia kuibuka kwa tetemeko la ardhi mkoani humo, ambalo linakadiriwa kuwa na ukubwa wa 5.2 katika vipimo vya Ritcha. Read more about RPC afunguka kuhusu tetemeko la ardhi Katavi