''Sugu alikuwa mtu wa Toto nyingi'' - DC Katambi
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Patrobas Katambi, amezungumzia mahusiano yake na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu), ambapo amempongeza kwa maamuzi ya kuoa kwa madai ya kwamba ameamua kuchagua tabia njema na si mwonekano wa mtu.

