Nedy afunguka kuhusu kutapeli watu na kufumaniwa Msanii Nedy Music amefunguka kuhusu malalamiko ya kutapeli watu pesa, kuomba picha za utupu wanawake katika mitandao ya kijamii pamoja 'issue' za kufumaniwa. Read more about Nedy afunguka kuhusu kutapeli watu na kufumaniwa