Bongo Movie watoa ahadi hii kwa watanzania Wasanii wa filamu Wasanii wa filamu za BongoMovie wakishirikiana na Miss Tanzania Elizabeth Makune, wamepanga kutengeneza filamu katika mbuga za wanyama za Serengeti na Ngorongoro. Read more about Bongo Movie watoa ahadi hii kwa watanzania