Baharia Kigwangalla abadili maamuzi Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla Siku moja baada ya Mbunge wa Nzega Vijijini na Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla kuweka wazi kuwa amejiondoa kwenye chama cha Mabaharia, sasa ametangaza kurejea. Read more about Baharia Kigwangalla abadili maamuzi