Rais Shein aumizwa na walimu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ametoa onyo kali kwa walimu wenye tabia ya kuwachezea wanafunzi na kuwataka wazingatie maadili ya kazi, kwani kazi ya ualimu inafanywa na watu wenye heshima.

