Wasimamizi mtihani la 7 waaambiwa chakuzingatia Katibu Mtendaji NECTA Dkt Charles Msonde. Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), limetangaza kuanza kwa mitihani ya kuhitimu Darasa la Saba kwa watahiniwa 947,221, huku wavulana wakiwa 451,235 na wasichana wakiwa ni 495,986. Read more about Wasimamizi mtihani la 7 waaambiwa chakuzingatia