DC alalamikia walimu kuwapa mimba wanafunzi
Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Christopher Ngumbiagai, amekiri kuongezeka kwa idadi kubwa ya wanafunzi katika Wilaya hiyo, ambao wamekuwa wakiacha masomo kutokana na mimba, huku watuhumiwa wakubwa wakiwa ni walimu na bodaboda.