Wananchi walalamikia gharama za vitambulisho
Wakati uandikishaji wa vitambulisho vya taifa ukiendelea, baadhi ya wananchi ambao wamepata vitambulisho katika maeneo mbalimbali na kukuta jina moja ua mawili yamekosewa, wameonekana kuchanganyikiwa baada ya kusikia kuwa watatakiwa kulipia shilingi elfu ishirini za kitanzania.