Spika 'alivyomzuia' Waziri Mkuu kujibu swali
Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, amemzuia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kujibu maswali ya Wabunge wawili Chama Cha Mapinduzi, akiwemo Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea na Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Jaku Hashim,
