KMC kutolewa chambo na Simba, Yanga, Azam FC Wachezaji, makocha na viongozi wa KMC Kuanzia leo Ijumaa hadi Jumapili ya wiki hii, mashabiki wa soka Tanzania wana kazi moja tuu ya kuhakikisha timu nne zinafuzu katika hatua ya pili ya michuano ya vilabu barani Afrika. Read more about KMC kutolewa chambo na Simba, Yanga, Azam FC