Mtoto wa miaka 12 ajinyonga
Mtoto wa Darasa la nne katika Shule ya Msingi Osanyui aitwaye Elibariki Lekine, mkazi wa Murieti Mkoani Arusha, amekutwa amefariki dunia kwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani katika nyumba ambayo inaendelea na ujenzi.