Instagram wamchangia pesa Rais Magufuli
Wakili wa kujitegemea Albert Msando, amekabidhi kiasi cha Shilingi milioni tano kama mchango wa kumsaidia kumlipia deni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, alilokuwa anadaiwa na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.