Dubai ilivyo na maajabu kwa mastaa wa Bongo Tessy Chocolate na Lulu Diva Kwasasa idadi ya mastaa na watu maarufu kwenda nchi za nje kula bata au kwasababu ya kazi na biashara, inazidi kuongezeka kila kukicha. Read more about Dubai ilivyo na maajabu kwa mastaa wa Bongo