Miaka minne mingine ya Askofu Shoo kuongoza KKKT Askofu Dkt. Fredrick Shoo Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), limemteua kwa mara nyingine tena Dkt. Fredrick Shoo, kuongoza tena kanisa hilo kwa kipindi cha miaka minne. Read more about Miaka minne mingine ya Askofu Shoo kuongoza KKKT