Wananchi 'wamlilia' Waziri Mbarawa sababu ya maji

Baadhi ya wananchi wa Kata ya Bagara, Wilaya ya Babati mkoani Manyara wamemuomba Waziri wa Maji, Prof. Makambe Mbarawa, kuwapelekea maji yaliyosalama kutokana na maji ya sasa wanayotumia si salama na yamekuwa yakiwasababishia magonjwa kila siku.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS