Lindi: Viongozi upinzani wakamatwa wakizindua tawi Jeshi la Polisi mkoani Lindi, linawashikilia kwa mahojiano viongozi wanane wa Chama cha ACT-Wazalendo, kwa madai ya kufanya mkusanyiko usio halali wa kutokuwa na kibali kutoka kwa jeshi hilo. Read more about Lindi: Viongozi upinzani wakamatwa wakizindua tawi