Watatu wasimamishwa kazi Wizara ya Ardhi
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, amewasimamisha kazi wafanyakazi watatu wa idara ya Ardhi, kwa makosa ya kuisababishia Serikali hasara kwa kumilikisha ardhi bila kufuata taratibu za Sheria.

