Lema aingilia kati suala la Musiba,Kangi na Polisi
Waziri kivuli wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, amesema Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Kangi Lugola anayokazi kubwa ya kufanya ili kuweza kumdhibiti mwanaharakati Cyprian Musiba kwa kuwa inaonesha mtu huyo ana nguvu kubwa.

