Diwani azungumzia Makonda kugombea Ubunge
Diwani wa Kata ya Kigamboni, Dotto Msawa amezungumzia tetesi na uvumi unaoendelea kusambaa katika mitandao ya kijamii, juu ya madai ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kugombea nafasi ya Ubunge wilayani humo .