'Uchaguzi ujao hautakuwa na rushwa' - Spika Ndugai

Spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema hategemei kuona vitendo vya rushwa vikitawala katika chaguzi zijazo, kwa kile alichokieleza ni juhudu kubwa zilizofanywa na Rais wa Jamhuti ya Muungano wa Tanzania katika kutokomeza rushwa nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS