'Hata wasingefunga isingebadilisha kitu' - Zahera

Wachezaji wa Yanga na Zesco kwenye mechi ya leo

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera, amesema kitendo cha Zesco United kusawazisha hakijabadili chochote kwa timu yake kwani hata kama wangeshinda leo bado wangehitajika kufunga goli ugenini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS