Johari ataja sababu ya Wema Sepetu kususia vikao Johari na Wema Sepetu Msanii mkongwe wa maigizo nchini Tanzania, Johari, amefunguka suala la Wema Sepetu kutoonekana na kususia vikao au mikutano ambayo inayohusisha wasanii wa filamu. Read more about Johari ataja sababu ya Wema Sepetu kususia vikao