Ray C aomba ushauri kwenye hili Mwanamuziki Ray C ameweka picha ikimuonesha akiwa amevaa nguo zinazomuonesha yuko hospitalini, na akiandika kuwaomba watu kumpa ushauri upi wa kufanya ili kuhakikisha mimba haitoki tena. Read more about Ray C aomba ushauri kwenye hili