Wanaojenga nyumba za aina hii watakiwa kuondoka
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi, amewataka wakazi wa Mkoa huo kubadili namna mpya ya nyumba za kuishi, kwa kutoishi kwenye nyumba za kuwekeza kwa kwa matope na nyasi, badala yake waaanze kujenga nyumba za matofari na kuweka mabati.