Olesendeka apangua maagizo ya Halmashauri
Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Ole - Sendeka ametengua katazo la Halmashauri ya mji wa Njombe, lililopiga marufuku mabasi ya abiria, kushusha katikati ya mji kwa madai ya kwamba katazo hilo linawaumiza wananchi wa hali ya chini.

