Wanafunzi wa UDSM waja juu baada ya kuitwa wachafu
Uongozi wa Serikali ya wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO), wamejibu tuhuma zilizotolewa na Mhadhiri wa chuo hicho Kitivo cha Sanaa ya ubunifu Dkt. Vicensia Shule, kuhusu uwepo wa baadhi ya wanafunzi wachafu na hawajui kuoga.