CHADEMA yahisi kufanyiwa mchezo mchafu
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa CHADEMA Tumaini Makene, amesema kuwa madiwani wa Halmashauri ya Ubungo hawajagomea mkutano wa baraza hilo bali wamehisi kuna mchezo mchafu unaofanywa na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kwa kushindwa kumuapishwa Diwani wa viti maalumu.