Zahera ajibu kuhusu sheria ya mavazi ya TFF Kocha Mwinyi Zahera Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amezungumzia kuhusu kuhusu sheria mpya ya mavazi ya benchi la ufundi kwa klabu za Ligi Kuu Tanzania bara, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili. Read more about Zahera ajibu kuhusu sheria ya mavazi ya TFF