'Mimi ni kama kuku wa kizungu' - Harmorapa

Harmorapa

Msanii asiyeishiwa na vituko Harmorapa, ameeleza sababu za kuzungumza lafudhi ya nchini Kenya na kilichomfanya aandike kuwa ana umri wa miaka 9 katika mtandao wa kijamii wa Instagram.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS