Madereva bajaji wafunga barabara kisa polisi Askari wakimbeba dereva wa bodaboda Baadhi ya madereva wa bajaji mjini Morogoro wamelazimika kufunga barabara kufuatia kamatakamata ya polisi iliyofanyika katika mji huo mapema leo. Read more about Madereva bajaji wafunga barabara kisa polisi