Mbowe 'aibua jambo' uchaguzi ujao
Kiongozi Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, amehoji juu ya kanuni zitakazoendesha uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu, ambapo amesema kanuni hizo hazijapitiwa na Bunge.