Kauli ya Mtaturu baada ya Rais kumsifia hadharani Rais Magufuli na Miraji Mtaturu Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Miraji Mtaturu, ameonesha ni kwa namna gani ambavyo hakutegemea kama Rais Magufuli, angefurahishwa na uwepo wake kama mwakilishi wa wananchi katika jimbo hilo. Read more about Kauli ya Mtaturu baada ya Rais kumsifia hadharani