Machangudoa 15 waangukia pua kwa RPC Muroto
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Gilles Muroto amesema kuwa, takribani machangudoa 15 wamefungwa kifungo cha miezi 6, kisichokuwa na faini kwa makosa ya kuuza miili yao na kufanya ngono inayodhalilisha hadhi na utu wa Mwanamke.